Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Unao muda wa kupoteza?Kwamba sifananii![]()
Mkuu msituharibie uzi wetu mzuri tafadhaliSoma unayoandika
👌🏿Mkuu msituharibie uzi wetu mzuri tafadhali
Kama mna hamu ya kuchafuana zameni PM
Kweliii aiseeee huu uzi ushakuwa jau yaani hauna hata mvuto wa kuingia huku..... watu wachache wameamua kuufanya huu uzi ni kijiwe chao cha kila kituuuUzi wetu wa picha mnaleta upuuzi mwingi
Mnatukera,ni vile watu wamekaa kimya ila mnaboa.










Jibu la mjinga ni kumuacha aropokwe mwenyewe..Uzi wetu wa picha mnaleta upuuzi mwingi
Mnatukera,ni vile watu wamekaa kimya ila mnaboa.
Hehhehehe Maureen yule wa ipad nini😆😆…. Pole sana jaman….umetaja margarita umenirudisha miaka mingi na Maureen pale JB Belmonte 🥲🥲🥲🥲... tupange ratiba ijuumaa au alhamisi mapemaaa..
Nishamuacha dada yanguJibu la mjinga ni kumuacha aropokwe mwenyewe..
Akikosa attention atajiona ye ndio zuzu mwisho atapiga kimya.
Kina D na N wangemuacha angekuwa anamkwoti nani? Automatic angefyata.
Nishamuacha ila akija nampa uchi
Unanifokea au?Mkuu msituharibie uzi wetu mzuri tafadhali
Kama mna hamu ya kuchafuana zameni PM