Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,815
- 10,703
Solution ni mojaana maamgaiko na maisha yake, anashindwa kupambana nayo analeta makasiriko huku, ilihali kila mtu ana yake humu ndani ila tunajikaza kama binadamu wenye akili timamu.
Maxence Melo angalieni feature ya ku edit comment, kuna issue serious watu watafanya edit na kuharibiana leo hii mambo ya kawaida haina shida sana. lakini kuna siku mtu ata edit comment alafu yaweza leta shida na has ukute og comment imefutwa
Kutomjibu aachwe hapo tuone atajibishana na nani