Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20221029_192326.jpg
 
Huyo jamaa huko juu ana upuuzi mwingi , kuna mahala nishazinguana nae sana ana tabia ya kuedit comments za wengine anaandika utopolo sijuagi ana shida gani. Hii kitu waiangalie kwa kweli.
ana maamgaiko na maisha yake, anashindwa kupambana nayo analeta makasiriko huku, ilihali kila mtu ana yake humu ndani ila tunajikaza kama binadamu wenye akili timamu.

Maxence Melo angalieni feature ya ku edit comment, kuna issue serious watu watafanya edit na kuharibiana leo hii mambo ya kawaida haina shida sana. lakini kuna siku mtu ata edit comment alafu yaweza leta shida na has ukute og comment imefutwa
 
Back
Top Bottom