Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Safi sana, yani mnapendana na Saint Anne kumbe nyie hata uke wenza mtakaa kwa amani, naomba niwachumbieni..Poa , mzima
Safi sana, yani mnapendana na Saint Anne kumbe nyie hata uke wenza mtakaa kwa amani, naomba niwachumbieni..Poa , mzima
🤣🤣🤣Mbinguni hutakaa jirani na mimi
Mimi nakosa vocha,wewe unaweka tigo tu
Hayajatoka hataNiliona jana Mshana alipost ratiba ya mgao wa maji.
Mi sinaga mambo mengi.. hebu nikuone basi..Chaaaa!!!
Aiseee..basi ndoto zimeanza kukusaliti
Jicho langu kali kama chuma..halina mzaha.
Namna ulivyorespond kubadili avatar;response yako ingekuwa hivihivi kwenye kunipa picha basi ningekuona wewe ni mtu na nusu.
Nikajua unanipa picha ili nikuweke kwenye list ya mtu na nusuMi sinaga mambo mengi.. hebu nikuone basi..
Kwa hio hapa nilipo ni robo mtu sivyo?Nikajua unanipa picha ili nikuweke kwenye list ya mtu na nusu
Hii nchi ni noma!!Hayajatoka hata
ratiba ya mchongo
Jana tumekaa Hadi usiku hamna
Kipande ulikuwa,Kwa hio hapa nilipo ni robo mtu sivyo?
UshindweeeeeSafi sana, yani mnapendana na Saint Anne kumbe nyie hata uke wenza mtakaa kwa amani, naomba niwachumbieni..
Sina pichaKipande ulikuwa,
Leo umekamilika..
Ile na nusu bado..
Imalizie.
hahahaha 😂😂Safi sana, yani mnapendana na Saint Anne kumbe nyie hata uke wenza mtakaa kwa amani, naomba niwachumbieni..
Hebu tupia kwanza nikuone
AiseeeeSina picha
Wewe nakutafutia shemeji yangu
hii ndo Tz aiseeHii nchi ni noma!!
Hadi ratiba ni za mchongo 🤣
Mitano tenahii ndo Tz aisee
watu wanahangaika na madumu tu .
Maji ni uhai .
Hapo najua ushaanza kuchukia, yaani unapenda picha we mtoto sijui kama nini tu..Aiseeee
Kweli unafata nyayo za Yesu
Wewe ni yuleyule,jana na leo hubadiliki
Busy kupenzika amaUnanisumbua niko busy ujue 😂
aisee mambo hayo 🥳Wewe nakutafutia shemeji yangu
Mdogo wa babe wangu
Mbinguni hutakaa jirani na mimi
Mimi nakosa vocha,wewe unaweka tigo tu