Mambo ChakoriiNajua mtakuwa mmeamka na pombe vichwani.karibuni supu ya uswazi nyie mnaopenda soup zenye Hadhi ya nyota tano hii haiwafai mtatapikaView attachment 2400207
You're missedSaint Anne ? where are you?
Marahaba jirani, usiku unasemaje kwakoShkamoo jirani .
Jana nimekuota..You're missed
Mie mzima, nilikuona mitaa ya Ubungo..Poa ,
habari ya siku nyingi ?
Uongo umeanza lini??Jana nimekuota..
Mungu ni mwema jiraniMarahaba jirani, usiku unasemaje kwako
Jana niliota tunaota jua..Uongo umeanza lini??
Hiyo avatar haikupendezi
Ukaota hadi sura?Au ulikuwa unaota unaota jua na ID ya st AnneJana niliota tunaota jua..
Hebu nipe avatar nzuri..
Kwanza ngoja nikuulize;Umemuotaje?
Tusimulie kidogo