Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

kizuri sana hicho
utatupa feedback kilivyo.
Anasema alitayarishiwa kila kitu kwenda kusomea uchungaji..Na Mke wake akaandaliwa mafunzo ya Mama Mchungaji.
Alipofika Mungu akamwambia sikukuita uje usome uchungaji,baki ulipo 😂
IKabidi aanze kwenda kuapologize kwa wote aliowasumbua.

TAtizo mimi mvivu kusoma vitabu..
Nina vitabu vingi ila sidhani kama nishawahi maliza hata kimoja.
 
God's calling wow , umelezea kiufupi vizuri .

nakuelewa sana hapo mie pia nakuwaga mvivu kusoma aisee labda kiwe so interesting .
 
Back
Top Bottom