Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sanaa

Napenda anavyolichambua Neno..
Yaani nikifika hata theluthi ya huyu Mzee kwenye Maarifa ya Biblia aisee sijui nitajisikiaje.
Hiyo ni baraka kweli kweli .
Kuna watu wanajua kuhubiri jamani
muombe Roho mtakatifu akuongoze katika hilo 😍.
 
Back
Top Bottom