Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,790
USIKU MWEMA
MPIRA HARAMU
Viva club Africain





MPIRA HARAMU
Viva club Africain



















Duh!!...Thimbaaaa
Nye nye nye timu bora
Jirani hujambo, kwema?Mimi jeuri yangu yoote siwezi kutopokea simu.
Ila nikipokea sasa naongea utadhani ugali umenikaba shingoni.
Kuna muda akikasirika anakata simu ananiacha nipambane na hali yangu.
Hasira zikimshuka muda kidogo tu huyoo anapiga.
Shkamoo jirani .Jirani hujambo, kwema?


mie wamenikera aiseeJf sijui wamekumbwa na Nini
Kila kukicha wanazidi kuliharibu hili app lao la mchongo
Mbona kutulazimisha tuandike comments ndefu
Kama Sitaki je![]()
Tupia Boss .Njooni tuselfike wadau
Nitaacha kucomment wabaki na App yaomie wamenikera aisee
leo asubuhi nakoment naambiwa sijui nn .Nitaacha kucomment wabaki na App yao
Kulikoni estugo wetu?
Usitoke hapa .Tupia Boss .
Asante Boss .Usitoke hapa .
thank you , nimeipata hiiSelfika na #tigo#
*104*360637288624876#
Kuna kitu nimekomenti eti eti wanasema niandike gazeti kumbe ni huu upuuzi.Jf sijui wamekumbwa na Nini
Kila kukicha wanazidi kuliharibu hili app lao la mchongo
Mbona kutulazimisha tuandike comments ndefu
Kama Sitaki je![]()
Topiary moja basi Anne.Nitaacha kucomment wabaki na App yao