Hebu jaribu kunitumia uone[emoji4]hahahaha mbn nasikia ndo zako
mmh,ndo unatafuta kianzio cha furahi day?Hebu jaribu kunitumia uone[emoji4]
Mambo vipi yolly yolly wanguNitaacha kucomment wabaki na App yao
Kigugumizi cha nini mjeda[emoji1787]Kn mtu mmoja na mmiss sana humu.mkimuona mwambieni na....sana.tena sana
hahaha,mapema sana,unaeza taja ,kumbe unaharibuKigugumizi cha nini mjeda[emoji1787]
Si umtaje
Nyama ya mbuziNajua mtakuwa mmeamka na pombe vichwani.karibuni supu ya uswazi nyie mnaopenda soup zenye Hadhi ya nyota tano hii haiwafai mtatapikaView attachment 2400207
kipenziNajua mtakuwa mmeamka na pombe vichwani.karibuni supu ya uswazi nyie mnaopenda soup zenye Hadhi ya nyota tano hii haiwafai mtatapikaView attachment 2400207
Niambie kipenzi..umepotea sanakipenzi
📌Nyama ya mbuzi
Mzimuni