Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Monday ☕
20221024_100846.jpg
 
Babu you look so smart.

Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama bibi 😊 Nitakatishe shati jeupe hivyo
Hahaha.........ukipata likizo uje huku Kijijini Bibi yako akupe mbinu, manake kuna Kijana alitaka kuleta Posa yako lakini shida yake anavaa Mashati meupe kila siku, jitahidi uweze ili tuipokee Posa yake 🤗
 
Babu likizo mbali, kesho tu naomba emergency leave nije huko.
Aki hukukosea kumchagua bibi 😍, naomba ukirudi jioni umbebe kazawadi japo kadogo kwa kuappreciate mema yake kwako
 
Atafurahi kukuona, ngoja nimwambie kuhusu ujio wako akuandalie Kuku wa kukuchinjia.

Bibi yako licha ya kuzeeka kama Mimi lakini bado anapenda Ice cream 🍦, nitamchukulia Jioni nikirudi shambani
 
Back
Top Bottom