Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Huyo hafaiIla wanaume jamani nilipata rafiki mmoja wa kiume niakuambie nitakuwepo kwenye maombi usiku karibu aisee alikuja kufika pale ,
Akawa anangangania kuondoka kanisani , na pastor aliona ni mgeni wangu aisee kila saa ananyuka .
Baada ya hapo ikawa mwisho wa kuwasiliana