Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,245
NaikumbukaSahihi dear
Niliwekaga muda fulani
NaikumbukaSahihi dear
Niliwekaga muda fulani
MmhNipo home mchumba!..leo tupo pamoja na wananchi[emoji4]
Wewe ni mwananchi mwenzangu!😊
Kwaraha zakoo ✌️!Tuliolala ndio tunaamka
Hahah hanipendi 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha dhambi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila kama naye anakupenda basi zidisha maombi.
Watu from no where unashangaa tu wameachana[emoji1787]
Nipo poa vipi wewe ?Hujambo jirani. Unaendeleaje
Poa kabisa jirani...Nipo poa vipi wewe ?
Ila kwenye pombe hatukubaliani MchumbaWewe ni mwananchi mwenzangu![emoji4]
🤣🤣🤣🤣🤣!! Nawewe jibane humohumooo sharing is caring 😄😄!!Mweh ana mtu wake
Ni uchungu sana 😂😂
Khaa [emoji23][emoji23][emoji23]Hahah hanipendi [emoji23][emoji23]
Nikae kwa kutulia my dear
Wacha wapendane wenyewe [emoji3526]
Usimpoteze[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!! Nawewe jibane humohumooo sharing is caring [emoji1][emoji1]!!
Mkomaliee hivohivooo atakupenda mbele kwa mbeleee 😄😁😁Hahah hanipendi 😂😂
Nikae kwa kutulia my dear
Wacha wapendane wenyewe ☺️
Watapendana mbele kwa mbeleee banaa 🤣Khaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni hivyo basi usihangaike naye..Utanishukuru baadaye.
Angalau awe anakupenda.
Mweh najibana vipi na hanitaki🤣🤣🤣🤣🤣!! Nawewe jibane humohumooo sharing is caring 😄😄!!
Weee sema Kweli Anne kumbee!!🤔🤔🤔 Sasa kama hakufeel siunajusigeza ivoivo vitaumana mbele kwa mbeleee au!!🤣🤣🤣🤣!!Usimpoteze
Raha ya mapenzi mwanaume akupende kwanza.
Mchumba wake wee hakuhusuuu anahuu jamaa tyu😁!!Mweh najibana vipi na hanitaki
Mchumba wake si atanichamba
Na ambavyo sipendi bughudha
Acha tu the guy ni rafiki yangu kweliKhaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni hivyo basi usihangaike naye..Utanishukuru baadaye.
Angalau awe anakupenda.
Ah wapi!Weee sema Kweli Anne kumbee!!🤔🤔🤔 Sasa kama hakufeel siunajusigeza ivoivo vitaumana mbele kwa mbeleee au!!🤣🤣🤣🤣!!
Najua mchumba!..endelea kuniombeaIla kwenye pombe hatukubaliani Mchumba
Nakuombeaje wakati maombi ulishayapiga chiniNajua mchumba!..endelea kuniombea