Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Mweh zimestuck , hazikuilol ni nzuri umekuzaaa halafu eti unataka kuzinyoa una utani ujue!! ni nzuri usinyoe
Mweh zimestuck , hazikuilol ni nzuri umekuzaaa halafu eti unataka kuzinyoa una utani ujue!! ni nzuri usinyoe
Ado ado zitakua.. si huwa unazifanyia service mara kwa mara lakini!!Mweh zimestuck , hazikui
Zinaonekana nzuriiii... ulipendeza sana!!Yeah juzi tu hapa nimezifanyia
Asante kwa ushauri 🥰😍Hukohuko mcrush tu itaeleweka mbele kwa mbeleee💃💃😘
Thank you dear ☺️❤️Zinaonekana nzuriiii... ulipendeza sana!!
Tuliolala ndio tunaamkakhakhakhaaaa!!
Morning mjomba! ✋
Huyo huyoSina heartbeat mie [emoji23][emoji23]
Nipo solo jamani mniamini [emoji23]
Nina crush tu mie [emoji23][emoji23]
Weka picha kwa kutuhurumia tu.Mshana Jr nakuahidi kaka yangu, endapo Yanga tukifungwa leo nakuja kuweka picha yangu hapa... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
NimepitwaNywele zangu dear
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059]
Nchi za watu unakunywa pombe ofisini?Esay sunday..[emoji4]View attachment 2395462
Mweh ana mtu wakeHuyo huyo
Watu wanaachana Mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mweh ana mtu wake
Ni uchungu sana [emoji23][emoji23]
Hahaaha I wish waachane kweli 😂😂😂Watu wanaachana Mama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaha I wish waachane kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Sahihi dearEwaaaa[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nahisi uliwahigi kuweka
Hujambo jirani. UnaendeleajeHello jirani
Nipo home mchumba!..leo tupo pamoja na wananchi😊Nchi za watu unakunywa pombe ofisini?
Unachokitafuta kipo mchumba.