Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,928
Mweeeeeeh[emoji134][emoji134][emoji134]hili linahitaji kazi sana kunikonvisi [emoji4]
Mweeeeeeh[emoji134][emoji134][emoji134]hili linahitaji kazi sana kunikonvisi [emoji4]
Mkwe huna kumbukumbu, tulikuwa tunaongelea upole sio sauti.
Inayokoroma.Ulisema una sauti ya upole lakini siyo mpole,, yes??
Duuuh!! Hivi vitoto vya siku hizi taabu tupu[emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi siyo mtoto mwenzio ujue
Ila wee huwanga unajipata ni mzae
Em tuma tena hiyo picha bana. Mbona huna haibaMkwe hebu kalale.
Ingia kule kuna ujumbe wako..
Eti umesema[emoji134]
Kesho naanza kukuunga juhudi cheusi mwenzangu na haibaVyeusi mangala tuliwakosea nini jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji41][emoji41]haujasikia au kiburi tu??
wewe umesema kweli, ila sio mweusi sana na imani utakuwa umenenepa kwa sasaKesho naanza kukuunga juhudi cheusi mwenzangu na haiba
Mmmmh!! Tangu useme hata hutimizi ahadi[emoji134]Kesho naanza kukuunga juhudi cheusi mwenzangu na haiba
Inayokoroma.
Nilisema ya upole sio nyembamba, cute b kakudanganya.[emoji848][emoji848]kwamba kuna mtu ana sauti nyembamba halafu inakoroma??
Duuuh!! Hivi vitoto vya siku hizi taabu tupu[emoji134]
Unamfahamu Julius Mtatiro?
Kesho naanza kukuunga juhudi cheusi mwenzangu na haiba
Kumbe unamsikia[emoji134][emoji134]Mtoto? Wa miaka mingapi??
Yeap namsikia
Niko huku matakoni mwa mji!!
Unakuja pm kufanya nini sasa??
Mkwe huna kumbukumbu, tulikuwa tunaongelea upole sio sauti.