DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,898
I smell something fishyThe shot was taken by my one and only Hubby, nilipoenda kumtembelea katika chuoni kwake 🤦♀️🤦♀️
View attachment 1258877
I smell something fishyThe shot was taken by my one and only Hubby, nilipoenda kumtembelea katika chuoni kwake 🤦♀️🤦♀️
View attachment 1258877
Umekosa kampani au uko off mood
Kama yakoo

Script writerSure, hadi kufikia kufanya kazi katika migahawa na mahotel makubwa ya huku ni kwamba life liko so expensive. Hii picha ya chini nilipiga katika ufukwe mmoja unaitwa unaitwa escape beach club
View attachment 1258831
Ipo hapa kijitonyama, serious ni kwamba umekosa usafiri mrembo..Posta mbali na ninapoishi mkuu nimeona uvivu tu
Na hili lisauti linalokoroma atalala kweli?
Na hili lisauti linalokoroma atalala kweli?
Mie toto zuri siku zote jamani![]()
Silali saa hii lakini
Ipo hapa kijitonyama, serious ni kwamba umekosa usafiri mrembo..



si anafikiri sie ni watoto wenzie
hivi unajua mkwe wako ana kumbukumbu sana...
mekumbuka kisa cha yule mtoto aliletwa na mzazi wake...pale mbona ulisema sauti yako ni zile nyororoooo
Na ile ya mwanzo ilikuwa ni wewe mkuu?View attachment 1258891
I took this snap on my birthday two month ago at Kaya Pallazo Hotel & Resort .. Hii hotel ni kiboko![]()
Nimeelewa sasa, ila ni wapi huko ambapo hapafifiki kwa hapa Dar, nakuja PMHaha soma tena comment yangu mkuu
Perfect body 😘💙View attachment 1258891
I took this snap on my birthday two month ago at Kaya Pallazo Hotel & Resort .. Hii hotel ni kiboko 😍😍
Nimeelewa sasa, ila ni wapi huko ambapo hapafifiki kwa hapa Dar, nakuja PM
Mkwe huna kumbukumbu, tulikuwa tunaongelea upole sio sauti.hivi unajua mkwe wako ana kumbukumbu sana...
mekumbuka kisa cha yule mtoto aliletwa na mzazi wake...pale mbona ulisema sauti yako ni zile nyororoooo
Ingia kule kuna ujumbe wako..Niko huku matakoni mwa mji!!
Unakuja pm kufanya nini sasa??
Eti umesemasi anafikiri sie ni watoto wenzie
