Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna ndugu zetu tunasoma wote vidudu huko ndo hatufaulu wenzetu mnaenda huko tukikutana wanajifanya hawajui kiswahili 😂😂😂😂

Yani mtu anakupigia simu anajifanya kiingereza et hajui kiswahili hiv mnatukuchukuliaje sie la Saba B😂😂😂😂Kwamba ndo wanakuwa mmesoma uingereza ama 😂😂
 
Wana pigo za miaka ya 90

Mimi nikikutana na schoolmate wangu natandika kilugha Cha kikabila safii..achana na kiswahili
 
Kuna ndugu zetu tunasoma wote vidudu huko ndo hatufaulu wenzetu mnaenda huko tukikutana wanajifanya hawajui kiswahili 😂😂😂😂

Yani mtu anakupigia simu anajifanya kiingereza et hajui kiswahili hiv mnatukuchukuliaje sie la Saba B😂😂😂😂Kwamba ndo wanakuwa mmesoma uingereza ama 😂😂
Mazoea/makuzi labda ila wengine ujuaji usanii / show off tu!
 
Back
Top Bottom