Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna ndugu zetu tunasoma wote vidudu huko ndo hatufaulu wenzetu mnaenda huko tukikutana wanajifanya hawajui kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani mtu anakupigia simu anajifanya kiingereza et hajui kiswahili hiv mnatukuchukuliaje sie la Saba B[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba ndo wanakuwa mmesoma uingereza ama [emoji23][emoji23]
Uongo mbaya,, kuna mahali ikifika kuna watu hawawezi kuwa fluent kwenye kiswahili hasa kuongea
 
Jamani kwamba shangazi nae yuko vizure kwenye Kizungu 😁😁😁😂!!
Hizo sifaaa au ndio kama uvosema keshakua mbelgiji na kiswahili hakijui 😁😁😂!
Jamani kwamba shangazi nae yuko vizure kwenye Kizungu 😁😁😁😂!!
Hizo sifaaa au ndio kama uvosema keshakua mbelgiji na kiswahili hakijui 😁😁😂!
Nikashauri sikunyingine akimuona amuite apige bia mbili fasta waanze kuzungumza 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom