Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee sema kweli Anne??? Jamani umenitamaanishajee kumsikia mr vochaa! 🤔🤔
Akiyanani Tena.
Akitoka baby wangu kwa sauti nzuri wanafatia hawa watu.


Mimi huwa sisifii hovyohovyo.
Anaongea vizuri huyoo..Sauti yake inaendana na ya mdau mwingine sitamtaja..
Kwenye comments humu jf huwa anabwabwaja tu lakini nje ni mtu siriazi sana.

Hawa watu wawili ni zaidi ya kaka zangu wa damu..Waliupiga mwingi sana kipindi nimepata shida.
 
Back
Top Bottom