Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20221021_172432.jpg
20221021_172528.jpg
 
Uzee mdogo wangu uzeee. wee mr vocha kumbe nishakomentigi hadi kwenye uzi wako na hunikumbushi mie najua nimekufahamu selfika tu kha
Wakati huo ili cc ilikua imekuteka huambiliki wala husikii ya mnadi swala🤣🤣🤣🤣
Aisee ile cc irudiwe tu tafadhali
Ngoja nimtag hapa mzee wa mambo yenu tuwaachie wenyewe😁
 
Wakati huo ili cc ilikua imekuteka huambiliki wala husikii ya mnadi swala🤣🤣🤣🤣
Aisee ile cc irudiwe tu tafadhali
Ngoja nimtag hapa mzee wa mambo yenu tuwaachie wenyewe😁
Asante umesema😂😂😂
Nilitaka nisema alikuwa bizi na CC atakumbukaje majina ya kina FARU KHADIJA🤣
 
Wakati huo ili cc ilikua imekuteka huambiliki wala husikii ya mnadi swala🤣🤣🤣🤣
Aisee ile cc irudiwe tu tafadhali
Ngoja nimtag hapa mzee wa mambo yenu tuwaachie wenyewe😁
😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂Mtag Akija hapa niite mbwaaaa mr vocha nimekaa paleee in putins voice 👉👉👉👉😄😄😄😄😄😄!
 
Nina wake wawili madam na watoto watatu wawili warembooo kama mama zao na mmoja dume sura ya baba yake copy and Paste🤣😁
Wee noma sana mr vocha hongera mno na safi sanaaa✌️ Nafurahi kusikia hiloo mr Vocha watoto ni baraka na familia ni muhimu sanaaaa! Big up bosi vocha!✌️✌️
 
Back
Top Bottom