Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Najiuliza sipati majibu.

Amakazana Aunt Aunt..we husband matirio unamwitaje Auntie?
Thubutuuuu

Mm huwa sijaribu hata kuita kaka mtu ninayempenda.
Aunt sophy27 kumbe unanipenda na hunambii??
Njoo upate mawaidha kutoka kwa mama mchungaji hapa alafu unifate pm chap😁
 
Kichoko ni tusi Sio vizuri
Mimi napenda utani sana sijaleta hii story Kwa kumsema mtu mwenyew naongea kiingereza sana tu

Usiwe serious hivo kaka
Na kingereza chako kimenyooka aunt hasa ukitupia vitu vyako
Hawakujui nn?😀
 
Najiuliza sipati majibu.

Amakazana Aunt Aunt..we husband matirio unamwitaje Auntie?
Thubutuuuu

Mm huwa sijaribu hata kuita kaka mtu ninayempenda.
Bora hata umesema mama Junia mm kuniita aunt wakati bint kabisa under 40 damu inachemka
Honey
Honey bee
Sweetheart
My love
Rouhy
Yote haya aniite aunt kweli ananikwaza sana jamni nachoka 😭 akishindwa kwakuwa kibonge aniite hata gunia la mchele sio mbaya😂
 
Honey bee😍
Gunia la mchele🥰
 
Back
Top Bottom