Tayariiiii🏃🏃🏃Athububuu aoneee
Tayariiiii🏃🏃🏃Athububuu aoneee
Saint Anne umeona kirikuu??Hii hapa mdogo wangu
Hiko ki skuna tu kuna buti la kijeda hapa mkizingua sio kibastolaa... ni bunduki lile refuuuu limefichwa kwa self defense 😂!Teke za Haaland na hii skuna
Nkamu tutapata kesi za mauaji
Handsome Mjep 😍Hii hapa mdogo wangu
Tutamtengua nayo kiunoSaint Anne umeona kirikuu??
Hio kauli sasa🤔🤔!🚶🏼♀️🚶🏼♀️😁Nikionja sehemu mbili tatu,nashushia na maji
Kama kawaida yake sekunde nyingi nimepitwa hapahapa walai!!Handsome Mjep 😍
Ni vile tu nimeolewa
Unaruhusiwa kuwa na ndoa 2 mdogo wangu maisha ndo yameshabadilika hivyo😁Handsome Mjep 😍
Ni vile tu nimeolewa
Ilikua ya kwako madam siyo yanguKama kawaida yake sekunde nyingi nimepitwa hapahapa walai!!
Kwa mwanaume sio mwanamke!😄Unaruhusiwa kuwa na ndoa 2 mdogo wangu maisha ndo yameshabadilika hivyo😁
Hata kwa mwanamke kumbe huna habari?Kwa mwanaume sio mwanamke!😄
Weeeeeeeeeeeeeeee Madam haicorrelate na handsome 😁!Ilikua ya kwako madam siyo yangu
Nimewahi kuitoa nisipigwe mateke🤣
Haipo hioo!Hata kwa mwanamke kumbe huna habari?
Mambo ya 50/50
Shauri yakoHaipo hioo!
Hiihiii tuliopo!Shauri yako
Unaishi dunia gani??
Eti eeh?Unaruhusiwa kuwa na ndoa 2 mdogo wangu maisha ndo yameshabadilika hivyo😁
Usinambie🤣🤣🤣🤣🤣Kama kawaida yake sekunde nyingi nimepitwa hapahapa walai!!
Naombapo Namba yake namie niisikiepo jamani!!!😉Eti eeh?
Sema unakuwaga na Sauti nzuri
Ashukuriwe tu Bi mkubwa Kwa kuchana Mkeka
Ana sauti tamu huyoNaombapo Namba namie niisikie jamani!!!😉