Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hiyo warning hatari
Mbona hujamalizia

Alafu mkaliii....!
Ili wasinisogelee kabisaaa😁
Sie tunajua uko singooo huko kuwowa sio shida zetuuu usututanieee uko singoooo mr vocha😁😁😁
 
Na watoto wazuuuri

Ule uzi walikuwa wanampa jina mtoto nilicheka
Nyie ndio nasikia leo walai kumbe mr vocha ashawekaga hadi siredi humu??? Sijawahi onaa asee watu ni mna dataaaaa uwiiii🙌🙌🙌🙌!
Mimi nipo kushangaa shangaa tu Sijui hata kitu doh!
 
Back
Top Bottom