Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,315
Ndio nimepitwa na nilikuepo hapahapaUsinambie🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio nimepitwa na nilikuepo hapahapaUsinambie🤣🤣🤣🤣🤣
In may 2021, a Gabonese woman showed off her seven husbands and explained how she manages to live with them without having issuesHiihiii tuliopo!
Buti na skuna vimekuponza🤣🤣🤣Ndio nimepitwa na nilikuepo hapahapa
Acha basiiii lol!! unanitamanishaa kumsikiaaaa na kuona akichombeza walai kama kweli hongera zake sana!!Ana sauti tamu huyo
Halafu hiyo ilikuwa Salamu
Sipati picha akiwa anachombeza mambo yanakuwaje
Iga ufeeee...iga kunya kwa tembo uchanike msambaaa shauri yako!!In may 2021, a Gabonese woman showed off her seven husbands and explained how she manages to live with them without having issues
A Congolese woman who married two husbands has shocked all and sundry, given that polyandry is not commonly practised in Africa Read more: 'We live in peace': Lady married to 2 men and shares the same bed with them says
Hao wanaume watakuwa mandondocha si Bure.In may 2021, a Gabonese woman showed off her seven husbands and explained how she manages to live with them without having issues
A Congolese woman who married two husbands has shocked all and sundry, given that polyandry is not commonly practised in Africa Read more: 'We live in peace': Lady married to 2 men and shares the same bed with them says
Nitakupigia leo unisikilize mdogo wanguKumbe Mjep Ana sauti nzuri hivyo
Mama mchungaji leo umetupia vyombo wallah, mbona umeanza weekend mapema hivi?🤣🤣🤣🤣Ana sauti tamu huyo
Halafu hiyo ilikuwa Salamu
Sipati picha akiwa anachombeza mambo yanakuwaje
Mayai yote mawili na ovari atatumbua hiyo sikuIga ufeeee...iga uchanike msambaaa shauri yako!! 😁
Fungua pm nikutumie chap madamNaombapo Namba yake namie niisikiepo jamani!!!😉
Unataka unitege?Nitakupigia leo unisikilize mdogo wangu
Mama mchungaji leo umetupia vyombo wallah, mbona umeanza weekend mapema hivi?🤣🤣🤣🤣
Kwenye kuchombeza sijuiAcha basiiii lol!! unanitamanishaa kumsikiaaaa na kuona akichombeza walai kama kweli hongera zake sana!!
Nawazoa??🤣🤣🤣🤣🤣 wacha banaIga ufeeee...iga kunya kwa tembo uchanike msambaaa shauri yako!!
Kumbe Ndioana nwewe humu unawazoa si mchezo 🤔🤔🤔
Fungua pm nikutumie chap madam
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣 Kikao kijacho kinakuhusuuu mr vochaa Wigelekelo keshatoa Alert 😂😂🤣🤣!Nawazoa??🤣🤣🤣🤣🤣 wacha bana
Madam umetisha
Mimi nimekupa ushahidi tu kuwa wanawake nanyinyi mnaolewa ndoa mbili au zaidi siku hizi ulimwengu umebadilika
Madam hii ni fursa ya wewe kunifungulia hiyo pm jamani kila nikijaribu nakuta solex kubwaaaaaaaMpe Anne nitaikuta kwake Mr Vocha!
Achana naye huyu anachuki zake tuu😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣 Kikao kijacho kinakuhusuuu mr vochaa Wigelekelo keshatoa Alert 😂😂🤣🤣!
Weee sema kweli Anne??? Jamani umenitamaanishajee kumsikia na kumwona mr vochaa mimii 😉Kwenye kuchombeza sijui
Ila kwenye salamu aisee jamaa sauti yake inabembeleza kichizi
Nzuri kama roho yake.
🤣🤣🤣😂😂😂😂 Au mambo yenu niwaachie wenyewe!😛Achana naye huyu anachuki zake tuu