Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20221021_170006.jpg
 
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂! Kwa staili hio Utakondaaaaa utakaa kwa presha na kujitafutia stress za rejareja bureeeee! Msiseme sijawaambia Tinsley
Mimi wivu siachi.


Ninavyompenda kuliko roho yangu alooo.
Hata yeye anajua nina wivu.


Kuna siku naona message "Nipige"
Halafu muda si mrefu tumemaliza kuongea.
Kumbe ilichelewa kufika Kwa sababu ya network.

Jasho zito lilinitoka ,nikapiga.
 
Mimi wivu siachi.


Ninavyompenda kuliko roho yangu alooo.
Hata yeye anajua nina wivu.


Kuna siku naona message "Nipige"
Halafu muda si mrefu tumemaliza kuongea.
Kumbe ilichelewa kufika Kwa sababu ya network.

Jasho zito lilinitoka ,nikapiga.
Ni hatua za mwanzo tu za mapenzi with responsibilitie automatic zitapungua 😁😁😂!!
 
Back
Top Bottom