Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Ngoja ngoja huumiza matumboMambo mazuri hayataki haraka!
Ngoja ngoja huumiza matumboMambo mazuri hayataki haraka!
Teke za mayaiLile likasomee😂
Nasemaaa ukikua utaelewaaa😂😂😁!
Yule mpaka afe haondoki paleNakuja nile naye Mshahara
Haiwezekani anainyonya tu timu
![]()

Wakati huo mimi nitakuwa wapi?Nasemaaa athububuu aone ntavomrusha mateke yale yatimu yako ileee ya mieleka yakasome 😁!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Teke ukipiga wewe mpigaji unajikuta chini mwenyewe 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂!Teke za mayai
Na nkamu ako ntawachakaza vibayaaa 🤣🤣😂!! Tulieni hivohivoooWakati huo mimi nitakuwa wapi?
Klopp simuelewi kabisaYule mpaka afe haondoki pale![]()
Mbona tutakugonga na kirikou ya NkamuNa nkamu ako ntawachakaza vibayaaa 🤣🤣😂!! Tulieni hivohivooo
Muda huo nishawawekea misumari mikubwa barabarani zamaaaniii hapana chezea watoto walokulia bushi nyie!!😁Mbona tutakugonga na kirikou ya Nkamu
Njoo tukutandike🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Teke ukipiga wewe mpigaji unajikuta chini mwenyewe 🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂!
Wakati nkamu ndo mkagua njiaMuda huo nishawawekea misumari mikubwa barabarani zamaaaniii hapana chezea watoto walokulia bushi nyie!!😁
Sambasoti unazijua wewe?? Mkija napiga soti hamjageuka vizuri nishawakata ngwala chaliii zamanii😁Njoo tukutandike
Uzuri karet nilisomasoma Madrasa na Nkamu
Hapa tu najiandaa kutandika mtu mtamaSambasoti unazijua wewe?? Mkija napiga soti hamjageuka nishawakata ngwala......😂😂
Ndio mtajua kama mliweka lami vizuri au vibaya!! MisumariiiiiiiWakati nkamu ndo mkagua njia
Utaipigilia wapi na Nkamu ndo anaweka lami
Yani hamajaanza kurusha tama nishawavunja meno na nkamu wako!😁Hapa tu najiandaa kutandika mtu mtama
Mjep tupia picha zakeNdio mtajua kama mliweka lami vizuri au vibaya!! Misumariiiiiii
Teke za Haaland na hii skunaYani hamajaanza kurusha tama nishawavunja meno na nkamu wako!😁
Athububuu aoneeeMjep tupia picha zake
Sina maneno mengi..mateke yaanze
Ndio tunaanzaAthububuu aoneee