Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Sijui ikoje nchi yetu hii ukimwambia mwanaume unampenda unaonekana cheap .Akizubaa unajiongeza mwenyewe banaa! Ila hapo kwenye kuonesha nia umechoma penyewee!!![]()
Sijui ikoje nchi yetu hii ukimwambia mwanaume unampenda unaonekana cheap .Akizubaa unajiongeza mwenyewe banaa! Ila hapo kwenye kuonesha nia umechoma penyewee!!![]()
😂😂😂😂 kabisaaa dear!Kweli dear , sitaki baadae nianze kulia humu 😂😂 .
😂😂😂😂😂😂🤣🤣!🙂🙂🙂 shangazi tutabalance, mie mjomba wako unanimudu kabisa.. tunapiga ile kama tuna balance chemical equation
Hahahaaa... wanapenda nature ifanye kazi yake labda!Sijui ikoje nchi yetu hii ukimwambia mwanaume unampenda unaonekana cheap .
🤗🤗🤗🤗🤗😂😂😂😂😂😂🤣🤣!
Kweli dear😂😂😂😂 kabisaaa dear!
🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🤗🤗🤗🤗🤗
HakikaHahahaaa... wanapenda nature ifanye kazi yake labda!
utanikuta mlangoni naku wait tuanze kazi 😁😁😁🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️🏃🏼♀️
Naelewa mamy na Yataka moyoooo moyo jiweee kama sio chumaa kama una moyo mwepesi hutamudu hizo kashikashi kabisaKweli dear
Mlangoni tena wakati natoka ndrukii hapo Sitaki balaa mie!utanikuta mlangoni naku wait tuanze kazi![]()














nakukimbiza nakuakamata nakubeba juu juu hadi ndani 🤪🤪🤪Mlangoni tena wakati natoka ndrukii hapok![]()
![]()
Mimi na ka moyo kepesi ndo siyawezi kabisaNaelewa mamy na Yataka moyoooo moyo jiweee kama sio chumaa kama una moyo mwepesi hutamudu hizo kashikashi kabisa
Weee wewe hunizidi mimi T..hahaha!! ! Mimi kamoyo kadogoooo afu kepesiiiii! Ndiomana sitaki hekaheka tena humu!!Mimi na ka moyo kepesi ndo siyawezi kabisa
Jamani watu wa fashion mje dada apendeze taratibubu usimpite mwenye shughuli maana huo mshape 😂😂Lovelovie Saint Anne sophy27 Tinsley mnitafutie nguo 2 za kuvaa Alhamis💃💃!! ukumbini uwanjani na Inner party!!
Yani unakuwa sensitive ilee mbayaWeee wewe hunizidi mimi T..hahaha!! ! Mimi kamoyo kadogoooo afu kepesiiiii! Ndiomana sitaki hekaheka tena humu!!
Weee shepu imeipururukaa mnoo imeishaaa! Mpaka mida hii Sijui ntavaa nini Walai nachekesha mimi!Jamani watu wa fashion mje dada apendeze taratibubu usimpite mwenye shughuli maana huo mshape 😂😂
Weee shepu imeipururukaa mnoo nimeishaaa!Jamani watu wa fashion mje dada apendeze taratibubu usimpite mwenye shughuli maana huo mshape 😂😂
Kabisa dear!!Yani unakuwa sensitive ilee mbaya
Tutulie zetu dear sis
Mambo yenyewe mazito .