Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Eh sioni pa kuanzia sasaWee shangaa tu dear watamdaka juu kwa juu wanaume wachache kipenzi do hurry!!😉
Wakimdaka sawa tu
Eh sioni pa kuanzia sasaWee shangaa tu dear watamdaka juu kwa juu wanaume wachache kipenzi do hurry!!😉
Akina nani watanidaka madamWee shangaa tu dear watamdaka juu kwa juu wanaume wachache kipenzi do hurry!!😉
Sijui itakuaje sasa na ndo nilishakutambulisha hapa kuwa wewe ni dada yangu mtoto wa baba mkubwa ngoja tuone madam hashindwi la kutushauriHahaha ngoja nisubiri maelekezo 😂😂
Kweli kabisa Kaka, sisi ni ndugu .Sijui itakuaje sasa na ndo nilishakutambulisha hapa kuwa wewe ni dada yangu mtoto wa baba mkubwa ngoja tuone madam hashindwi la kutushauri
Hio kaka kwiooo🙄🙄!Kweli kabisa Kaka, sisi ni ndugu .
Kaka dada ili mnyimane nini nyie msintaniee!! singo plus Singo is iko tu dabo!! Kesi closed!Sijui itakuaje sasa na ndo nilishakutambulisha hapa kuwa wewe ni dada yangu mtoto wa baba mkubwa ngoja tuone madam hashindwi la kutushauri
Thank you too my dear![]()

Other singos Afanye haraka akutekeAkina nani watanidaka madam
Wewe unaacha mwanaume alietulia na asie na mambo mengii usiseme sijakwambiaaaa 😁🤭!Eh sioni pa kuanzia sasa
Wakimdaka sawa tu
Miliki Bossi vocha wetu pullliiiizzzzz!! Naona wewe anakufaa sana!Hahaha ngoja nisubiri maelekezo 😂😂
nakupa mwili mzima, alafu nianze kukunyoosha viungo mdogo mdogo.. utakaa powa kabisaaMafuta tena mjomba 😁😁🤔🤔?? Hapa nimecheka kwa woga😂😂🤭🤭🤭!!
single wa humu ni wa michongo tyuuuu 😀😀😀Mshakua pair sasa! No more singoness!
Nahuu uzee viungo vishajikomalia zake si ntavunjika shangazi ako sasa!🤔nakupa mwili mzima, alafu nianze kukunyoosha viungo mdogo mdogo.. utakaa powa kabisaa
mie najua nitafanyaje shangazi.. utakuwa mwepesiii Na mwili utakuwa changamfuuu kama umezaliwa janaNahuu uzee viungo vishajikomalia zake si ntavunjika shangazi ako sasa!🤔
😂😂😂!!single wa humu ni wa michongo tyuuuu 😀😀😀
Nimeogopa walai nimeona kunyoshana viungo hapo nikasema ohooo shangazi naenda kuvunjwaa😁😁!!mie najua nitafanyaje shangazi.. utakuwa mwepesiii Na mwili utakuwa changamfuuu kama umezaliwa jana