tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,831
- 8,247
😀😀😀 fanya maamuzi mkuu. Sato hawaishidah! umenifanya nianze fikiria safari hata ya kutunga nisogee kipande hicho
😀😀😀 fanya maamuzi mkuu. Sato hawaishidah! umenifanya nianze fikiria safari hata ya kutunga nisogee kipande hicho
nakukimbiza nakuakamata nakubeba juu juu hadi ndani![]()


we mbwehampenzi wangu, nyonga mkalia ini.. I miss you, jioni nikuletee zawadi gani mama😍😍😍🥰🥰we mbweha
huwa napenda mbuzi mbavu pale the cask.. na ukarimu wa kisukuma 😁😁 acha nimpange ufunguo wangu wa maisha Darlin tuje kupumzika😀😀😀 fanya maamuzi mkuu. Sato hawaishi
Shkamoo MkuuLabda hi
unaenda wapi, huniagi 😏😏😏😒😒😒
Sitaki kitu nataka nikuache kwanza nahiskia una mahusiano unahusiana nayo😒mpenzi wangu, nyonga mkalia ini.. I miss you, jioni nikuletee zawadi gani mama😍😍😍🥰🥰
mie niwe na nani tena mpenzi wangu, wakati wewe ndio roho yangu baby jamaniSitaki kitu nataka nikuache kwanza nahiskia una mahusiano unahusiana nayo😒
sema kingine mama yangu, hilo la vacation limepita mama yanguNipeleke vacation nikusameheeeee😒😒la sivyo mm na wewe kwisha habari
Mbona kama nataka kukusamehe hivi😒ila sikusamehi kwanza mpaka twende vacationsema kingine mama yangu, hilo la vacation limepita mama yangu
Ngoja nimuite sophy27 aje kusema ukweli wote yeye ndio anajua husiano lako lingine😒
Sa mie ntaaminije niko peke yangubaby usisikilize maneno yao