National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
single feki, single magumashi single za kuwindiaa 😛😛😂😂😂!!
single feki, single magumashi single za kuwindiaa 😛😛😂😂😂!!
nakuvunjaa sooft yaani ile soft, taraaaaaatibuuu hadi ufurahi mwenyewe na rohooo yako, then unapigwa maji ya vugu vuguu Plus mzuke wa utulii 😊😊Nimeogopa walai nimeona kunyoshana viungo hapo nikasema ohooo shangazi naenda kuvunjwaa😁😁!!
Haya imekwisha hiyo kaka .Hio kaka kwiooo🙄🙄!
Kaka ishendwe na iteketee
Wee kumbe [emoji16]!![emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!single feki, single magumashi single za kuwindiaa [emoji14][emoji14]
Mwanaume aonyeshe nia yeye , Mimi nitulie tuli.Wewe unaacha mwanaume alietulia na asie na mambo mengii usiseme sijakwambiaaaa 😁🤭!
Haya Dada ,ngoja tuone mambo yanaendaMiliki Bossi vocha wetu pullliiiizzzzz!! Naona wewe anakufaa sana!
mshikaki wa samaki huu 😊😊😊 unibebee
Akizubaa unajiongeza mwenyewe banaa! Ila hapo kwenye kuonesha nia umechoma penyewee!![emoji8][emoji8][emoji3577]Mwanaume aonyeshe nia yeye , Mimi nitulie tuli.
Hii ni ya nundu...bado unataka?mshikaki wa samaki huu 😊😊😊 unibebee
naipenda ila nikilaga sijui mafuta, nababuka kwenye ulimi , tena hapo iwe na coca cola na grandmalta, napiga mixer saafi .. uje navyoo 🙂🙂Hii ni ya nundu...bado unataka?
Kweli dear , sitaki baadae nianze kulia humu 😂😂 .Akizubaa unajiongeza mwenyewe banaa! Ila hapo kwenye kuonesha nia umechoma penyewee!![emoji8][emoji8][emoji3577]
🙂🙂🙂 shangazi tutabalance, mie mjomba wako unanimudu kabisa.. tunapiga ile kama tuna balance chemical equationKunitibua utanivuruga zaidi mjombaa!