National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😍😍 unajua mie kifaranga chako,Mbona kama nataka kukusamehe hivi😒ila sikusamehi kwanza mpaka twende vacation
😍😍 unajua mie kifaranga chako,Mbona kama nataka kukusamehe hivi😒ila sikusamehi kwanza mpaka twende vacation
niamini mie mpenzi, anaesema nina wa ziada ebu amtaje tumuone kama yupo🙂🙂Sa mie ntaaminije niko peke yangu
MarahabaShkamoo Mkuu
Kiukweli nimefurahi leo kuona selfii yako maana wewe ni moja kati ya wadau ninaowaadmire humu jf.
Punguza crop,ongeza sura angalau tuione kwa uchache.
Nadhani kuna sehemu nilishawahi kwambia hili Mkuu japo ni muda umepita.Marahaba
Asante kwa heshima
I didn't know that [emoji15] kumbe?
Am humbled [emoji846]
Kwa kweli hata hivyo bado naona kuna watu wanaweza kunijua [emoji1]
Najua mimi ni mzee ila bado sijaachoka kuvaa jamani
But I am not ugly kuanzia hapo haha
Nilikuwa nakuja kukuona...sijakukuta.😐😐unaenda wapi, huniagi 😏😏😏😒😒😒
Gauni zuri hakika utadamshi dear
Ndio dear mpasuo wa kwenye paja chini kama nguva!Gauni zuri hakika utadamshi dear
Lina mpasuo wa mbele ?
Weuweeh , utakavyopendeza sasaNdio dear mpasuo wa kwenye paja chini kama nguva!
Asante mwaya!
Ohooo hapo chachaa kasheshee! [emoji23][emoji23] Nitajitahidi walau kenye kakisigino AsanteWeuweeh , utakavyopendeza sasa
Naomba uvae heels kidogo ..
Vazi linasuport , hapo umemaliza madam .Ohooo hapo chachaa! 😂😂 Nitajitahidi walau kenye kakisigino Asante
Itabidi nife na fasheni nikomae nacho ivoivo asante!Vazi linasuport , hapo umemaliza madam .
Wee mjukuu wangu naona [emoji1]Nadhani kuna sehemu nilishawahi kwambia hili Mkuu japo ni muda umepita.
Tupia Mkuu..Huku Selfika tupo wana chitchat tu tusio na madhara yoyote.
Vyema sana MadamItabidi nife na fasheni nikomae nacho ivoivo asante!
Kumbe jeje zilianza kitambo sana eeh!?Wee mjukuu wangu naona [emoji1]
Hebu imagine hii picha nilipiga Middle East mwaka 1979
Unafikiri leo ukiona sura ya mzee si utashtuka sana
Ipo siku utaniona wala usihofu View attachment 2392179
TuoneOhooo hapo chachaa kasheshee! [emoji23][emoji23] Nitajitahidi walau kenye kakisigino Asante
Wewe ni chaguo langu la milele
Nikiwa na wewe nina amani tele
Nainua mikono ninakuabudu
Maisha yangu yote nayatoa kwako
Aaaaaah Eeeeeeh
Yesu wastahili heshima na utukufu