Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,315
Asante dear!Pole Madam
Hope utakuwa sawa
Asante dear!Pole Madam
Hope utakuwa sawa
pole shangazi, leo na mie nipo down.. uje tunyanyuane tuuLeo nipo Moodless kweli mjomba!!😌
aha ha.. lift umepata, ondoa shakaaa kabisaaUnipack na mie nikamuone shost angu
Pole Uncle na wewepole shangazi, leo na mie nipo down.. uje tunyanyuane tuu
Fanya vovote unichekeshe basi walau nitabasamu mjomba wangu!😟😌pole shangazi, leo na mie nipo down.. uje tunyanyuane tuu
Kabisa madam tena single kweli kweliWewe ni single mwenzetu rafiki ?
hutoi taarifa mie najuaje upo wapi 😔😔Mwenyewe kama mtoto yatima 😔
Anhaa, na kwenye box moja zinakaa pakti ngapi vile?Ile zinakaa 500. Bei inatofautiana kutokana na sehemu japo zimepanda sana siku hizi. Bei inarange hapa 20k-22k
Ngumu kumeza , najuaga upo double best .Kabisa madam tena single kweli kweli
leo sina jipya shangazii nipo nipo tyuuuuuFanya vovote unichekeshe basi walau nitabasamu mjomba wangu!😟😌
Huoni warembo wananimwaga kila siku hapa akina madam AntonniaNgumu kumeza , najuaga upo double best .
😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😟leo sina jipya shangazii nipo nipo tyuuuuu
au nije na mafuta ya massage, uchofu utaaondoka uta relax vizuri na kila kitu kitaendaaa safari shangazi yangu😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😌😟
Haya Mjomba basi ngoja nikacheke vituko vya wanafunzi kwenye reheso huko !






Jana yolly yolly

nilimwambia anitongoze nione msimamo wangu 





Senkyuuuuaha ha.. lift umepata, ondoa shakaaa kabisaa
Kwenye Box sifahamu zinakaa ngapiAnhaa, na kwenye box moja zinakaa pakti ngapi vile?
Mafuta tena mjomba 😁😁🤔🤔?? Hapa nimecheka kwa woga😂😂🤭🤭🤭!!au nije na mafuta ya massage, uchofu utaaondoka uta relax vizuri na kila kitu kitaendaaa safari shangazi yangu