Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Itabidi nikupekele aisee, Lile eneo tulivu sana, Sio kama lile eneo lako karibu na Michicha, lile eneo linatisha sana
emoji23.png
Tatizo umezidi uoga 😶‍🌫️😆😆😆😆
Unakuwa kama hufanyagi mazoezi bana 🤨

Itapendeza sana...alafu ukipenda tuta-split bill ili ujenzi ubaki pale pale. 😉
 
Tatizo umezidi uoga
Unakuwa kama hufanyagi mazoezi bana

Itapendeza sana...alafu ukipenda tuta-split bill ili ujenzi ubaki pale pale.

Done,

Sio woga, wale jamaa wanasababisha usumbufu usio wa lazima . Hawafai
 
Walevi malizieni long wkend kwa usalama 🙌

Mtu unalewaje afu una drive kiasi cha kuyumba kabisa barabarani mpaka unatoka upande wako!!

Watu washapeana za uso tena mbele ya Central 😹
Polisi watapa na ulaji hapoo
 
Tufanyeje sasa?
Mnataka tufe njaa.

Mwanaume ameumbwa kutafuta.
Kutafuta pesa kupo, lakini ukweli mchungu ni kwamba siyo kila siku utakuwa na pesa......
Hivyo kuvumiliana na kusaidiana ni lazima kwenye maisha haya....

Takwimu zinasema kwamba watanzania wa miaka ya 73-90 waliishi maisha magumu kuliko kipindi kingine chochote kile Tanzania, lakini wakavumiliana kwenye ndoa na wengi wenu mkazaliwa kwa wingi miaka hiyo ya 85 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom