Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Kwani sisi hatuwavumilii??Kutafuta pesa kupo, lakini ukweli mchungu ni kwamba siyo kila siku utakuwa na pesa......
Hivyo kuvumiliana na kusaidiana ni lazima kwenye maisha haya....
Takwimu zinasema kwamba watanzania wa miaka ya 73-90 waliishi maisha magumu kuliko kipindi kingine chochote kile Tanzania, lakini wakavumiliana kwenye ndoa na wengi wenu mkazaliwa kwa wingi miaka hiyo ya 85 na kuendelea.
Mbona tunawavumilia kabisa,Kuna siku mnarudi bila bila ila tunawapenda hivyohivyo.
Sio woga, wale jamaa wanasababisha usumbufu usio wa lazima