Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Braza, braza,!!! Hela hizo unazozisema wanawake wanazo ziko wapi bwana, mimi sizioni ???[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kiufupi vijana wengi wa kitanzania tuna hali mbaya sana kiuchumi (Financial Stress)
Hivyo inabidi wawakubali tu, maana hakuna wanaume wengine......
Fedha mtatafuta wote, mbele ya safari hukooo......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom