Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🤠🤠🤠 Wao hata kama wana hela bado wanataka tuwe na hela na hata kama hawana hawataki asie na hela pia, kuvumiliana hakupo bali kuna kuvumiliana michongo yako binafsi itiki
Braza, braza,!!! Hela hizo unazozisema wanawake wanazo ziko wapi bwana, mimi sizioni ???😆😆😆😆
Kiufupi vijana wengi wa kitanzania tuna hali mbaya sana kiuchumi (Financial Stress)
Hivyo inabidi wawakubali tu, maana hakuna wanaume wengine......
Fedha mtatafuta wote, mbele ya safari hukooo......
 
Wanasoma hii comment yako huku wanasonyaaa 🤠🤠🤠🤠
 
Labda huku mtaani kwetu ndo hawana Hela ila vijana was jf wote Wana Hela 😂🚶
 
Wanasoma hii comment yako huku wanasonyaaa 🤠🤠🤠🤠
Hiiiiiiiiiii, wasonye tu, ila mimi ninawapa takwimu za utafiti kutoka NBS, BOT na Wizarani.....
Vijana wengi wa kitanzania wanapitia kipindi kigumu kwasababu hali ya uchumi siyo rafiki.....
Vijana (25-35 years) wenye kipato cha walau 1,335,000/= kwa mwezi ni asilimia ndogo mnoo.....

Vijana wengi huanza kupata kipato kikubwa cha walau 2,000,000/= kwa mwezi wakifika miaka 35-40 years.
Bahati mbaya, wakati huu tayari wanakuwa washaoa na kuzaa mtoto hata moja hivi na kumilikia biashara...
Sasa ni vyema mkaanza na mtu mkiwa na kipato cha kawaida, mkakomaa pamoja huko mbele mtafanikiwa.

READY MADE ZILE ZENYE GARI NA NYUMBA ZIPO, LAKINI WACHACHE SANA HUBAHATIKA KUZIPATA......
 
Inasikitisha sana hizi takwimu... Kuna safari ndefu sana bado hapo, kiwango cha 1-3 million ni cha kusaka sana kwa to hi na ni Ukweli usio na shaka, lakini hiyo ni hela ndogo sana kulingana na status ya Dunia ya sasa hivi.

Changamoto maisha ya mtandao, zinachanganya sana na maisha ya uharisia, na kujikuta wengi hawajui maisha yanataka nini nao wanataka nini.

Maisha ya siku hizi yamekuwa na ulengaji sana.
 
Hapo bado hajakatwa PAYE, Loans Board, Social Security Fund na tozo nyinginezo......
Ukizingatia mfumuko wa bei ulivyo sasa, mshahara ukitoka tarehe 23 haufiki tarehe 10.....
Hapa sasa, ndiyo ujanja mwingine nje ya mshahara ndiyo inabidi uhusike ili kukutoa kwenye kadhia.....
Bahati mbaya sana na vijana wenyewe wanataka kuvimba kwa mwanamke kwa mshahara wa PGSS-7......
 
Back
Top Bottom