Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hata usipobandika unaweza kutumiwa na kuachwa .Doh umetusanua hakii😂😂😂View attachment 2387814
Mapenzi hayana formula 😂
Hata usipobandika unaweza kutumiwa na kuachwa .Doh umetusanua hakii😂😂😂View attachment 2387814
Kuachwa kama kawaida 😂😂😂Hata usipobandika unaweza kutumiwa na kuachwa .
Mapenzi hayana formula 😂
Mapenzi yana formula ila ujinga huu unaofanywa sikuhizi ndo hauna formulaHata usipobandika unaweza kutumiwa na kuachwa .
Mapenzi hayana formula![]()
Labda itokee tu kwa watu wenye na bahati zao .Kuachwa kama kawaida 😂😂😂
Hayanaga formula😂Labda itokee tu kwa watu wenye na bahati zao .
Hujui anakuwazia nini , my friend hapo ni unasogeza tu siku na mtu .
Ujinga ganiMapenzi yana formula ila ujinga huu unaofanywa sikuhizi ndo hauna formula
KabisaHayanaga formula😂
Uje nayo hotel hiyo juice 😊
Uko sahihi braza......Tunarudi mwanzo, ukiwa na life partner au mwenza wa kudumu rahisi sana ku save na kwenda mbele kimaisha, ingawa sio constant inaweza change. Kale ka msemo kanasema mwanaume anaefanikiwa nyuma kuna mwanamke strong na mwenye akili kana sound.
Sema nini, haya maisha sasa hivi tuna deal nayo kwenye level ya familia (jenga msingi imara wa kifamilia), msingi ya kitaifa ni mibovu na sio rafiki. Ni kama kila mtu ajenge ufalme wake, ndipo kama Hawa MA tycoon wetu bila Hivyo itabaki kuona tu
Enhe naomba utuelezeMapenzi yana formula ila ujinga huu unaofanywa sikuhizi ndo hauna formula
Huu mnaouita mapenzi,,Ujinga gani
Mapenzi hayana shida,, ila personal issues za individuals (ambazo 99% zinaweza rekebishika) ndio chanzo cha kusema hayana formulaEnhe naomba utueleze

Ooh sawa tumeelewaHuu mnaouita mapenzi,,
mzee wangu anasemaga si kila jiwe jeusi ni iron ore kuwa litatengeneza chuma
Mengine ni graphite ore ya kutengenezea penseli,,
usipokuwa makini 99% ya muda utachagua graphite ore ukidhani ni iron ore then ule hasara
Well said broMapenzi hayana shida,, ila personal issues za individuals (ambazo 99% zinaweza rekebishika) ndio chanzo cha kusema hayana formula![]()
Tuvumilie kutokuwa na ela tuvumilie pia na umalaya haipo iyo 😂Uko sahihi braza......
Mabinti wawavumilie vijana..... 😁 😁 😁
Safi dada za wewWadogo zangu sophy27 Tinsley na CAPTORHINOMORPHS dada enu nipo hapa nawafuatilia kwa umakini🙇🙇🙇🙇🙇🙇
Habari za mchana ✋!
Hello SisWadogo zangu sophy27 Tinsley na CAPTORHINOMORPHS dada enu nipo hapa nawafuatilia kwa umakini🙇🙇🙇🙇🙇🙇
Habari za mchana ✋!