Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Utakatifu wa kusema et hamchepuki haupo na hata ukiwepo kwenye mia mmoja tu na ukweli wanawake wengi kwenye ndoa wamekubaliana nao japo unauma na nina experience na Hilo ninamama wa hiyari ana miaka 40 kwenye ndoayake na mumew alichaeat na mifano mingi ya rafikizake waliowahi kukutana na adha hiyo Tena enzi izo simu hamnaNyie mtatuambia nn muhimu tuheshimiane
Ukiingia na gia hyo hyo kwenye kila uhusiano,, yaki work out sijuiii
 
Hakuna anaengia Kwa gia mahusiano yavunjike na lakini kinachotufanya tunaishi na wapenz wetu Kwa amani ni IMANI tu kuwa tunapendwa tunapendana hatujaslitiana na mengine lakini nje ya box hayo yapo sana tu na kimoyomoyo somtym tunakubali lakini
IMANi tu ndo jnatufanya tunaishi na ndoa zinafungwa na watu wanaishi pamoja sabbu hakuna anaejua lililomoyoni mwa mtu
 
Good 1
 
Ukiingia na gia hyo hyo kwenye kila uhusiano,, yaki work out sijuiii
Mimi napenda kujifunza Kwa watu sana hasa walionizid na wameyaona mengi kunizidi pia hasa hii taasisi ni nzito mno kunavitu ukijifanya mjuaji mwisho wake unakuwa mbaya sana mifano mingi mahusiano ya Sasa hivi kunashetan la mauaji kwani zamani watu hawakupendana huo utamu tunauona sisi tu? ilq Kuna kujifanya Kuishi Kwa fact
Kwamba wangu wangu mwisho wake akiwa wa wengine unaua au lah unajiua
 
Vijana wako weak mno sikuhz they can't handle rejection,,
 
Back
Top Bottom