Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Hapo sasaTuvumilie kutokuwa na ela tuvumilie pia na umalaya haipo iyo 😂
Mtu awe mwaminifu na hana hela hapo unamvumilia otherwise hapana
Hapo sasaTuvumilie kutokuwa na ela tuvumilie pia na umalaya haipo iyo 😂
Njema sana dear! Naona mko na kikao 😉! Mie naomba niwe muandika muhtasari tu kwaleo ✍️Hello Sis
Habari ya weekend
Katibu Sijaelewa hapa mjumbee... umesema kwambaaa tuvumilie penyless navenye wako waaminifu amaa?? Nataka nirekodi vizuri points zote!Hapo sasa
Mtu awe mwaminifu na hana hela hapo unamvumilia otherwise hapana
Karibu sana MadamNjema sana dear! Naona mko na kikao 😉! Mie naomba niwe muandika muhtasari tu kwaleo ✍️
Mmesemaa.....??????
Nna muda sijasave picha yako,, fanya maajabu basi sisterWadogo zangu sophy27 Tinsley na CAPTORHINOMORPHS dada enu nipo hapa nawafuatilia kwa umakini
Habari za mchana wapendwa!

Santo sana Ndugu mjumbe!Karibu sana Madam
Tunadiscuss mapenzi ambavyo hayana formula
Na chocolate cake???Uje nayo hotel hiyo juice 😊
Ila akiwa na pesa na akicheat ni sawaHapo sasa
Mtu awe mwaminifu na hana hela hapo unamvumilia otherwise hapana

Sina hata jipya mdogo wangu... kimeo changu sikuhizi kinazingua kinoma!Nna muda sijasave picha yako,, fanya maajabu basi sister![]()
A loyal man ni ok hata kama yupo pennyless kikubwa upendo tu.Katibu Sijaelewa hapa mjumbee... umesema kwambaaa tuvumilie penyless navenye wako waaminifu amaa?? Nataka nirekodi vizuri points zote wajumbe!
Asante sana kwa swali mjumbe!!Ila akiwa na pesa na akicheat ni sawa![]()
Cheating ndo nature ya wanaume haiepukiki .Ila akiwa na pesa na akicheat ni sawa![]()
Mwambie bro anunue mpyaSina hata jipya mdogo wangu... kimeo changu sikuhizi kinazingua kinoma!

Nainukuu hii pia mjumbe ..✍️ mwisho tutahitimisha kwa pamoja 😂!A loyal man ni ok hata kama yupo pennyless kikubwa upendo tu.
Unavumilia unajua unavumilia nn sio kilakitu Cha kuvumilia Tena wanakera zaidi adabu hamna Hela Hana umalaya nao anauweka wazi bas unateseka mara mbili ukija kushtuka parapanda imelia na hujawahi kupumzika Dunia hii😂Hapo sasa
Mtu awe mwaminifu na hana hela hapo unamvumilia otherwise hapana
Katibu ukovizuriNainukuu hii pia mjumbe ..✍️ mwisho tutahitimisha kwa pamoja 😂!