Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unavumilia unajua unavumilia nn sio kilakitu Cha kuvumilia Tena wanakera zaidi adabu hamna Hela Hana umalaya nao anauweka wazi bas unateseka mara mbili ukija kushtuka parapanda imelia na hujawahi kupumzika Dunia hii😂
Ebu ncheke kwanza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 !!

Naendelea kunukuu......✍️
 
Unavumilia unajua unavumilia nn sio kilakitu Cha kuvumilia Tena wanakera zaidi adabu hamna Hela Hana umalaya nao anauweka wazi bas unateseka mara mbili ukija kushtuka parapanda imelia na hujawahi kupumzika Dunia hii😂
Aisee hapo inauma , bora ujiondokee zako .
Ya nini , uteseke double
 
Unavumilia unajua unavumilia nn sio kilakitu Cha kuvumilia Tena wanakera zaidi adabu hamna Hela Hana umalaya nao anauweka wazi bas unateseka mara mbili ukija kushtuka parapanda imelia na hujawahi kupumzika Dunia hii
But kwa namna moja ulijua kwamba he's funky ila ukapuuzia
 
Hao wenye pesa aisee , kila mtu anamgombania ..... Sa nyingine Bora uanze na mtu from the scratch .
Nani kakudanganya alipokupangia Mungu unga tela hapahapo unaweza kuwa na mtu mkaanza pamoja na akawa wa ovyo vilevile Tena wengi limbukeni balaa na ukawa na mtu anamaisha yake na akawa anajielewa

Haya mambo yapo hayaeleweki japo ukipata wa kuanza nae usiogope kuanza huwez jua mbele itakuaje
 
Hatarii sana hii mjumbe!! Ebu niinukuu kwanza tena kwa kuikolezeaaaa
" Hao wenye pesa aiseee, kila mtu anamgombania"✍️
Mwisho wa kunukuu
Utapata magonjwa bure kila siku uwaze wewe .

Wanawake wengine hawana huruma
Mdada mmoja aliolewa na jamaa mwenye pesa . Wanamtumia sms na kumchamba jinsi alivyo .
 
Nani kakudanganya alipokupangia Mungu unga tela hapahapo unaweza kuwa na mtu mkaanza pamoja na akawa wa ovyo vilevile Tena wengi limbukeni balaa na ukawa na mtu anamaisha yake na akawa anajielewa

Haya mambo yapo hayaeleweki japo ukipata wa kuanza nae usiogope kuanza huwez jua mbele itakuaje
Aisee haya hayaeleweki
Ni kuomba Mungu akuongoze tu
 
Back
Top Bottom