National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,176
- 56,199
🤦♂️🤦♂️🤦♂️ Usipo vimba hupati Kitu brother, na anapotoboka anaisha, tunajikuta tunaishi kwenye cycle ya mikopo. Nahisi kungekuwa na misamaha ya kodi kwa level.Hapo bado hajakatwa PAYE, Loans Board, Social Security Fund na tozo nyinginezo......
Ukizingatia mfumuko wa bei ulivyo sasa, mshahara ukitoka tarehe 23 haufiki tarehe 10.....
Hapa sasa, ndiyo ujanja mwingine nje ya mshahara ndiyo inabidi uhusike ili kukutoa kwenye kadhia.....
Bahati mbaya sana na vijana wenyewe wanataka kuvimba kwa mwanamke kwa mshahara wa PGSS-7......
Alie Anza ajira fresh, wangepumzisha baadhi ya kodi hata kwa miaka miwili. Au anae jianiri mzawa msamaha wa Aina flani za kodi hata miaka miwili. Kidogo kuacha nafasi ila kuwa na strong monitor kwenye vipato kikifika kiwango hata kama miaka miwili haijaisha anaweza wekwa kwenye mfumo wa kodi ila kuna kuwa na baadhi ya mazuio..
Ila acha tuishi, mwisho wa siku lazima tuwe na mawili mfumo utupokee au utupokee mfumo