Sipendi hayo mambo aiseeUnaogopa a little competition![]()
Nyie tafuteni nao tu .😂😂😂Sasa kama ni hivo maana yake tusitafute pesa na wanaume zetu ama 😂😂😂
Future hubby aje 🥰Yaani Mimi 😂😂😂future husband anipange kabisa mama tutapambane tupate pesa ama nipambane na umalayawake 😂😂😂nijue naenda na kipi
😂😂😂anipange aisee nisije nikapambana na mambomengi nikafa mapema 😂😂Future hubby aje 🥰
Mpange mapema mambo
Nina swaliii👆Yaani Mimi 😂😂😂future husband anipange kabisa mama tutapambane tupate pesa ama nipambane na umalayawake 😂😂😂nijue naenda na kipi
Hudhani kuvumilia hyo tabia yake ni chanzo cha yeye kufanya zaidi kwa excuse kwamba wife hana noma as long nimeacha kibunda ndaniNavumilia kukosa Hela na kma ni umalaya nivumilie umalaya pekee sio vyote maisha yenyew mafupi haya

Swali zuri hekaheka za.mwanaume Malaya huzijui ndugu presha ndogo ndogo na kuzimia mara Kwa mara 😂😂Nina swaliii👆
Utapambanaje na umalaya wake ndugu mjumbe???
Ukiwa na kitu cha tofauti it won't be a competition,,Sipendi hayo mambo aisee
Ahaa nilikua Sijaelewa vizuri sasa nimekupata mjumbe!Swali zuri hekaheka za.mwanaume Malaya huzijui ndugu presha ndogo ndogo na kuzimia mara Kwa mara 😂😂
Mara umemfumania mara hajalala nyumbani mara kahamia Kwa ashura Kwa tabata😂😂hizo kazi dada sio ndogo 😂😂
Kuna kuchepuka alafu Kuna umalaya kuchepuka hakuna mwanaume hachepuki na wengi wanaheshimu familia zao alafu Kuna umalaya ndo nachoongelea mwanaume MalayaHudhani kuvumilia hyo tabia yake ni chanzo cha yeye kufanya zaidi kwa excuse kwamba wife hana noma as long nimeacha kibunda ndani![]()
Hapo hadi jamaa akupende otherwise unapangwa zako fresh. .Ukiwa na kitu cha tofauti it won't be a competition,,
Kama kitu gani ndugu mjumbe???🤔🤔Ukiwa na kitu cha tofauti it won't be a competition,,
Huyo hafai aiseeMtu anapita mpaka na majirani rafikizako😂
Na Hana kujificha ukikaa vibaya Hadi nduguzako
Sio akupende tu mjumbe ... akupende Kweri kweri tenaaaa kama hauna maajabu yoyote hapo utaishia tu kusema nhiiiiiiiiiiiiiiiiiii ☺️☺️☺️..Hapo hadi jamaa akupende otherwise unapangwa zako fresh. .
Nyie wanaume mna mambo yenu .
😂😂😂NimechekaSio akupende tu mjumbe ... akupende Kweri kweri tenaaaa kama hauna maajabu yoyote hapo utaishia tu kusema nhiiiiiiiiiiiiiiiiiii ☺️☺️☺️..
Nimekazia tu Wajumbe naendelea kunukuu ✍️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hainaga usemejii...🤭Mtu anapita mpaka na majirani rafikizako😂
Na Hana kujificha ukikaa vibaya Hadi nduguzako
😂😂Sasa upate mwanaume was hivo si wanakukuta pumz imekata 😂😂😂Huyo hafai aisee
Atakuletea nuksi , magonjwa ndani .