Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,749
- 109,842
Hivi Mfojo bado yupo?
Hizi nuama zimenifanya nikumbuke chimbo langu la kwa mfojo tabata
Hizi nuama zimenifanya nikumbuke chimbo langu la kwa mfojo tabata
Brother hiyo ni togwa. Leo kibantu zaidi View attachment 1258617View attachment 1258618
Sawa tuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sakaya sio mtu kabisa[emoji3][emoji3]kuna mmoja naleta maombi alogwe nmkute ndani kwangu mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji86]mkuu wanatuuza hata kwenye huu uzi?[emoji3]nmecheka sana
Hivi picha yako iko wapi eti mpendwa?[emoji16]Hekima ya hali ya juu [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante sana mkuu.Umeongea jambo la msingi sana!
Barikiwa sana Mkuu
Sawa,sasa hvi nakuja kwa WhatsappChukua hiyo free offer
Namchafua kiaje mzee baba ?acha kumchafua
Hahaha mlozi umeamua kuipiga kabisa!!!Usijaribu kapokea dume
Karibu mkuuSawa,sasa hvi nakuja kwa Whatsapp
Kaangalie kwenye uzi wa like, hata hapa nimeweka mpendwaHivi picha yako iko wapi eti mpendwa?[emoji16]
Sijaona bhanaKaangalie kwenye uzi wa like, hata hapa nimeweka mpendwa