Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Nimeumia sana jamaniNimesikitika![]()
Nimeumia sana jamaniNimesikitika![]()
Nani umemuonaaNimeshamuona dada
HallelujahAuntie ndio metoka.
Niko naye hapaMkuu upo sudan au??
Hekima ya hali ya juu 😁😁😁
Hamna mwavulii ndugu?!Mvua hii leo...! Inabidi jumuia niifanyie kwangu tuu na familia
Si ulinikimbiaa weweSijakuonaaa
Achika kabisaa kaka yetu akuwowenatania mimi, uwiii naachika huku.
Utaratibu ufanyike haraka ili usikumbatie pillow, morning glory inabust ubongo, akili inakuwa active siku nzima.Nimeumia sana jamani
HahaahahahahahWe kila mtu baka baka![]()
Usiibe
Mimi nimetamani mali (sijui ni za nani), nitapata dhambi?Usiibe
Usitamani mali ya jirani yako
Usiue
Kumekucha sasa
Sawa kakaUtaratibu ufanyike haraka ili usikumbatie pillow, morning glory inabust ubongo, akili inakuwa active siku nzima.