Baada ya lindo...!
Hivi [emoji1780] unasoma ama unalike tuu jamaniLike like likeeee
Ohoooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poleeeeee[emoji2296][emoji2296]mwee sijaiona mimi jamani!!
Naona unamjaribu mlozi kwa giza Kwanza[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani huyo nikusaidie kumlogaa...
View attachment 1258623
HahahahahahaNaona unamjaribu mlozi kwa giza Kwanza[emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu huyu ndiye Sakayo, angalau tujiliwaze kwa kuangalia nyuma yake[emoji3][emoji3][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi mbege imeshanisaba[emoji3][emoji3]Hahahahahaha
Niko naye huko gizanii
Jambo wewe, umeitwa sana hapa bila mafanikio
Poleeeeee
Usitoke tena ziko mlangoni[emoji3][emoji3]Sijambo kakaake,, nilipitiwa mimi jamani basi tu lakini..
Tatizo nikiomba hapo hapo nikisema nisubiri hazitumwi nikitoka tu ndiyo zinatumwa daah