Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
Inabidi uiweke akili sawa.Baada ya lindo...!
Baada ya kazi ngumu
Isingekuwa kuachwa na Sakayo
Sasa hivi ningekuwa naandaliwa juice ya limao tu.
Inabidi uiweke akili sawa.Baada ya lindo...!
View attachment 1258655huwa inauma mnoo jamani
Usitoke tena ziko mlangoni[emoji3][emoji3]
Mkuu huyu ndiye Sakayo, angalau tujiliwaze kwa kuangalia nyuma yake[emoji3][emoji3]View attachment 1258658
View attachment 1258655huwa inauma mnoo jamani
Sijambo kakaake,, nilipitiwa mimi jamani basi tu lakini..
Tatizo nikiomba hapo hapo nikisema nisubiri hazitumwi nikitoka tu ndiyo zinatumwa dah
Wengine hadi wapige pamba kali kali...
Ngumu kama zoteView attachment 1258667View attachment 1258668
Kumbe? Sasa si waniambie tu jamani?
Ndio mami sahivi nipo sanaNimeona ndio vipi uko Tz.
haha Inamatumizi mengi sana iyo mwilini.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]kwani una kitambi?
Utakua upo kozi mteremko tu.Ukimaliza kucheki weka yako hii sifuti View attachment 1258469
Hivi mshana ini lako liko katika hali gani??Ngumu kama zoteView attachment 1258667View attachment 1258668
Mjeda
Rafiki nimependa hiyo view