sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,645
- 8,735
I miss u more
I miss u madly!
I miss u more
Uongo ndo hakuna mtu itamuacha salama..hizi simu zimetufanya tuwe waongo haswaaHasa hii ya uongo na ya kulitaja Jina la Bwana
Mungu ni WA rehema tu.
Acha tuUongo ndo hakuna mtu itamuacha salama..hizi simu zimetufanya tuwe waongo haswaa
Yaniii ni balaa kwenye daladala mtu yupo ubungo utasikia ndo naingia Iringa muda huu tena kwa sautiiAcha tu
Mimi kabisa sipokei simu na ninamwambia mtu sikuiona.
Akipiga tena nasema nipo kwenye kelele,wakati nimekaa nimetulia tu nyumbani.
Tunaomba uselfike sasa 🥰Yaniii ni balaa kwenye daladala mtu yupo ubungo utasikia ndo naingia Iringa muda huu tena kwa sautii
WachaHuko nimeacha kupita ili niwahi mbinguni, naona kusoma kimasihara kunanichelewesha🤣
Haya sibadili.Usibadili ili tuwahi mbinguni madam!
Hata mimi nimejaa mifupa tupu ila natupia hivyohivyoDah!
Sasa nilivyokonda hivi picha si itatisha watu🤔
Haya ngoja nivute feelings za kujifotoaTunaomba uselfike sasa 🥰
sophy27 mdogo wangu leo jakuona kabisa dear Lovelovie sis akee uliifanya asubuhi yangu ikaenda vema kabisa wabheja sana sis kipenzi,, 



mkwepu jr mr likes unaupiga mwingiii mkuuu santo sanaa Mjep the great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg wa kupita kama upepoooo sekunde mbili nyingiiiiiii weweee vocha zatoshaaa ubarikiwe na kuzidishiwa maradufu mpendwaa ukipenda utaongezea na selfis Bossi wetuu!!







Jamani nimemisiwa huku ile mbayaaa...I miss u madly!
Vodaaa💃💃💃💃🤸🤸Jamani nimemisiwa huku ile mbayaaa...
Acheni niringeee...
Niambieni niweke vocha gani chap
Usijali Mjukuu, nitakuhadithia chote 🤗Ukimaliza uniadisie
Shikamoo babuuu✋Usijali Mjukuu, nitakuhadithia chote 🤗
Hiyo ya Juu wanasema ni tiba Kwa baadhi ya maradhi 🙈Hahahaa hyo hapana
Sawa babu, kuanzia J3 nitakisaka
Marahaba Mjukuu, habari za Mjini kwenu? Bibi yako na Mimi tumekumisi sanaShikamoo babuuu✋
Hivi kumbe weekend imeshaanza madam?tamsana mkuu umekula chocho bado nakudaiiii Saint Anne nawe bado nasubiria mmalize kuweka mapozi na bwana Pep na Juniaa National Anthem mjomba nasubiria iendelee kupoa poa vizuri wewe mchana ulinibless Wakoraaaa waituuu ,, Alexprosper sijabahatika kuona selfii yako even a day am still waiting for the sapuraizzzzzzz Wigelekelo bado uko na vumbi kwa road bado nakudaii!! Hustler one katibu bado nasubiria tangu majuziii uloniahidi bado nasubiria ERoni mr uchebe kitambo sana hujaselfika . Tinsley mamaa lipss barikiwa mnooooooo leo nimebahatika kuona bongesa la lipssssss twiceee plus vidole lainiii vizuriiiii vimenonaaa balaasophy27 mdogo wangu leo jakuona kabisa dear Lovelovie sis akee uliifanya asubuhi yangu ikaenda vema kabisa wabheja sana sis kipenzi Lizzy Miss selfika wewe wastahili tuzo ya selfika kabisaaa huna tabu na mtuuu
Shimba ya Buyenze babaa yutongs nawe kitambo sana sijakuona selfika... Alayna mzungu wetu mkareeee sana nae katususa kidogooo spidernyoka mjumbe I hope ushaget well mpendwa usisahau kutusabahi wanaselfika nduguu cocastic shoss angu uwepo wako unaamsha amsha sana Selfika sweetheart popote ulipo we do miss you alot babe!! myoyambendi aaaahhh jiraniiii nilibahatisha selfii ya mkono wako siku moja tu jiraniiiiimkwepu jr mr likes unaupiga mwingiii mkuuu santo sanaa Mjep the great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg wa kupita kama upepoooo sekunde mbili nyingiiiiiii weweee vocha zatoshaaa ubarikiwe na kuzidishiwa maradufu mpendwaa ukipenda utaongezea na selfis Bossi wetuu!!
Wishing you an enjoyable, ameiizzinngggg and wonderful weekend wapendwa!!
Antonnia!!
Akisema ameipata mtu hii niiteni mbwaaaaa nipo hapaa🙇🙇😁!
Madam boss lady mwenyewe😍😍tamsana mkuu umekula chocho bado nakudaiiii Saint Anne nawe bado nasubiria mmalize kuweka mapozi na bwana Pep na Juniaa National Anthem mjomba nasubiria iendelee kupoa poa vizuri wewe mchana ulinibless Wakoraaaa waituuu ,, Alexprosper sijabahatika kuona selfii yako even a day am still waiting for the sapuraizzzzzzz Wigelekelo bado uko na vumbi kwa road bado nakudaii!! Hustler one katibu bado nasubiria tangu majuziii uloniahidi bado nasubiria ERoni mr uchebe kitambo sana hujaselfika . Tinsley mamaa lipss barikiwa mnooooooo leo nimebahatika kuona bongesa la lipssssss twiceee plus vidole lainiii vizuriiiii vimenonaaa balaasophy27 mdogo wangu leo jakuona kabisa dear Lovelovie sis akee uliifanya asubuhi yangu ikaenda vema kabisa wabheja sana sis kipenzi Lizzy Miss selfika wewe wastahili tuzo ya selfika kabisaaa huna tabu na mtuuu
Shimba ya Buyenze babaa yutongs nawe kitambo sana sijakuona selfika... Alayna mzungu wetu mkareeee sana nae katususa kidogooo spidernyoka mjumbe I hope ushaget well mpendwa usisahau kutusabahi wanaselfika nduguu cocastic shoss angu uwepo wako unaamsha amsha sana Selfika sweetheart popote ulipo we do miss you alot babe!! myoyambendi aaaahhh jiraniiii nilibahatisha selfii ya mkono wako siku moja tu jiraniiiiimkwepu jr mr likes unaupiga mwingiii mkuuu santo sanaa Mjep the great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg wa kupita kama upepoooo sekunde mbili nyingiiiiiii weweee vocha zatoshaaa ubarikiwe na kuzidishiwa maradufu mpendwaa ukipenda utaongezea na selfis Bossi wetuu!!
Wishing you an enjoyable, ameiizzinngggg and wonderful weekend wapendwa!!
Antonnia!!