Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Thatha jee!! Kwesho Nyerere day !! Wakuinjoy weekend kazi kwenuu!!Hivi kumbe weekend imeshaanza madam?
Thatha jee!! Kwesho Nyerere day !! Wakuinjoy weekend kazi kwenuu!!Hivi kumbe weekend imeshaanza madam?
Tena wakuite mbwa koko😁😁😁Akisema ameipata mtu hii niiteni mbwaaaaa nipo hapaa🙇🙇😁!
Hakii Jioni yangu imekua safiii kabisa
wabheja sana mr vocha!!
Kabisaaa mr vochaa Tena mbwa koko kichaa kabisaTena wakuite mbwa koko😁😁😁
Hongera madam
Tupe picha ya jioni macho yapate kuponaKabisaaa mr vochaa Tena mbwa koko kichaa kabisa
😁😁😁!!
Mimi ninani hata nikupinge dada mkubwaTupe picha ya jioni macho yapate kupona
Miss you moreeeMimi ninani hata nikupinge dada mkubwa
miss you dadalakee 😘!!
Ooh kweli, kwa wale watu wa daslam, kesho ipo mnada maeneo ya "six-madale", waende wale mbuzi na kujilipua.Thatha jee!! Kwesho Nyerere day !! Wakuinjoy weekend kazi kwenuu!!
Miss u too darlingMiss you moreee
Thank youuuMiss u too darling
Mbio ndo tatizo inabidi nitafute kiswaswadu cha pembeni cha kulia vocha za mabrazaaThawaa dadake usiwaze kabisa! Una mbio lakini?? Humu speed yako dadamkubwa ukishangaa unapitwa naupo hapahapa!!😁
Mwambie darling asitoke hapa na akodoe macho kodooDarling akoo anatumia voda! Si ndio sis Kalpana ??😁😁
Ohoo za kuingiza kwenye kiswaswadu utaambulia patupu walai dada zile za copy and paste ni rahisi zaidi!Mbio ndo tatizo inabidi nitafute kiswaswadu cha pembeni cha kulia vocha za mabrazaa
Eti eee basi kumbe yaaah nimeelewa hapoOhoo za kuingiza kwenye kiswaswadu utaambulia patupu walai dada zile za copy and paste ni rahisi zaidi!