Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

TANESCO kama kuna kosa tumewakosea watu wa NJIRO-ARUSHA mtusamehe 😂😂

Ofisini mmekata saa 2 asbh, nimetokapo saa 12 kasoro flani bado haujarudi..

Nimefika home nikaandaa msosi, sijala nikamaliza nako mmekata… hapa nakombelezea moto kwenye Laptop 🥹

Sio vizuri jamani,, basi wakati mnajivuta vuta kurudisha umeme njoeni mselfike

Wee admn njoo uselfike TANESCO 😎
 
.
 

Attachments

  • 20221012_212149.jpg
    20221012_212149.jpg
    826.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom