Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Walimu wa primary wanafanyia watoto mitihani.
Mkalalamika kwamba mzigo mnaupata nyie kwa sababu wale watoto wanakuja secondary hata kusoma hawajui.

Shida haipo kwenye kuiba mitihani tu!
Shida ipo pia kwenye mifumo ya mitihani ya primary siku hizi.
Multiple choice masomo yote.
Hakuna mtu atafeli,Hata yule ambaye hajui kusoma.
Weeeee hapana mzigo tulionao ni kwa wanaotoka kule bila kujua kusoma au kuandika! Sasa kama kwenye Kiswazi as medium of instructions imeshindikana huku kwa lugha za wenyenazo si ndio balaa kabisa!!
Warudishe utaratibu ule ule aisee !
 
Mimi naona suluhisho siyo kubadilishana kusimamia

Suluhisho ni kubadili mitihani.
Ile mitihani ya primary kwa kweli inashangaza.
 
Back
Top Bottom