Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kweli kabisaWakisema chagua viwili mimi nachagua hela na chakula.
Nyimbo nitaimba mwenyewe.
Hivyo ni vya msingi
Kweli kabisaWakisema chagua viwili mimi nachagua hela na chakula.
Nyimbo nitaimba mwenyewe.
Hizo habari achana nazo kwanza, twende na pesa, misosi, gospel hayo mengine tunawaachia wapenzi wake🤣Tuone yaweke hapa😋
Inaashiria mambo mazuri ujue.Asante Kaka
Picha tu hiyo
Nakaziaaaa!!✌️✌️✌️Hizo habari achana nazo kwanza, twende na pesa, misosi, gospel hayo mengine tunawaachia wapenzi wake🤣
Sasahivi siangalii mechiEwaa, kila mtu abaki kwake, tukiwa vibanda umiza tuwe na argument kidogo, sio kukubaliana kila kitu.
Hata yeye najua alikuwa ananichora tuWee usinisikilizee Mie kichwa kibovuuu 😁😁😂😂😂😂😂!
Ah wapiInaashiria mambo mazuri ujue.
Mimi naona suluhisho siyo kubadilishana kusimamia
Suluhisho ni kubadili mitihani.
Ile mitihani ya primary kwa kweli inashangaza.
I miss you more dada mzuri Jamani 🥰I miss u.
Tuone kwanza ule uchebeHizo habari achana nazo kwanza, twende na pesa, misosi, gospel hayo mengine tunawaachia wapenzi wake🤣
I miss you more dada mzuri Jamani 🥰
Afadhali umekuja unipe picha ninayoomba miaka nenda miaka rudi.
Usibadili ili tuwahi mbinguni madam!Tuone kwanza ule uchebe
Yawezekana naweza badili namba
Huko nimeacha kupita ili niwahi mbinguni, naona kusoma kimasihara kunanichelewesha🤣Sasahivi siangalii mechi
Hata yeye najua alikuwa ananichora tu
Huwa namsoma sana kimasikhara anavyoupambania uzi mamluki wakileta zengwe
Boss usithubutu kujaUpo na Mjep au mwenyewe nije 🙈🙈
I miss u moreI miss u.
Mbona ananitisha nisijaribu kuja 😒😒😒Kwani ulimwambia anifuate???🙄
😳😳😳😳😳😳Boss usithubutu kuja
Mimi ndiyo Ndoige mwenyeweKwani ulimwambia anifuate???🙄